Jumatano, 17 Agosti 2016

Messi arejea rasmi kuichezea timu yake ya taifa

Atimae mchezaji nguli wa kimataifa wa argetina Leoni Messi aliyetangaza kustafu kuichezea timu yake ya taifa wakati aliposhindwa kuipatia timu yake ya taifa kombe la copa america ametangaza kutengua kauli yake na yupo radhi kuichezea timu yake.

Maoni 1 :